Ni kweli cha maana ni furaha yako, (hata ukiwa peke yako).., lakini kama unampenda mtu na ukiwa nae unapata furaha ila kuna vikasoro vidogo vidogo inabidi uangalie pembeni au kuvikubali tu hivyo vikasoro (unajua tena even a rose has thorns),
Kuhusu standards labda mtu unategemea angel kutoka kwa mwanadamu, yaani unategemea mambo makubwa sana kwake badala ya kumkubali kama alivyo.
Unategemea vitu ambavyo ni juu ya uwezo wake.., au mtu sio mcheshi na tangia mwanzo ulijua hivyo lakini unataka awe mcheshi.., au unajua kabisa ni mtu wa kutulia na sio outgoing unataka awe mtu wa parties na kujirusha na wewe.., au unajua kabisa sio mchapa kazi za ndani kwa sana (mvivu mvivu) unataka ghafla awe mchapakazi..., au ni mtu mcheshi anapenda kuongea na watu na kujichanganya na watu ila kwa wivu wako unataka aache kuongea na mtu awe anaongea na wewe peke yako... the list is endless.mambo makubwa kama yapi?
Unategemea vitu ambavyo ni juu ya uwezo wake.., au mtu sio mcheshi na tangia mwanzo ulijua hivyo lakini unataka awe mcheshi.., au unajua kabisa ni mtu wa kutulia na sio outgoing unataka awe mtu wa parties na kujirusha na wewe.., au unajua kabisa sio mchapa kazi za ndani kwa sana (mvivu mvivu) unataka ghafla awe mchapakazi..., au ni mtu mcheshi anapenda kuongea na watu na kujichanganya na watu ila kwa wivu wako unataka aache kuongea na mtu awe anaongea na wewe peke yako... the list is endless.
Yaani unataka mtu ambae ni perfect kwako yaani kila unachotaka wewe kipatikane kwake (yaani ni kama mwanasesere ambaye kila ukibonyeza remote anafanya kile unachotaka wewe). Wakati nadhani kama tu unampenda anakuheshimu na anakujali na ana roho nzuri na busara mengine yoyote ambayo anayo ni bonus.
ila haukubaliani na mimi ? (agree to disagree..) 🙂ooh! Haya, nashukuru.
hana pesa ya kupiga so akijiunga na msg kwa sh 500 bas mpango kaamili from am to pm
dzain yupo na mwenzako ndo mana apend kuendekeza cm
ila haukubaliani na mimi ? (agree to disagree..) 🙂
by chatting unamaanisha texting?
if so pamoja na kwamba mimi si mkaka; texting ina ladha yake, coz baadaye unaweza refer zile meseji na au kusuuzika au kuunganisha dots, au chochote. Lakini na kuongea pia kuna raha yake, coz kuna kusikia sauti, kucheka etc. Hivyo ni vizuri kukawa na balance
Dada Kaunga wewe unaprefer kipi?
Sun wu u are so dearly tanx alotI once cried because I had no shoes..., until I met a man with no feet...
Yaani hii ikiwa sababu ya kutupa kule..., kweli tutapata watu ?, nadhani kila mtu ana matatizo yake cha maana ni kuyazoea tu na kama katika package yake yote jamaa hili ndio tatizo, then aendelee tu kumpigia simu na yeye siku akipata shida atampigia, asipompigia basi.., kwani watu waliishi vipi kabla ya simu. (after all men don't like talking as much as women)
ooh! Haya, nashukuru.
Unanicheka eeeh subiria zamu yakotehe,tehe
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien
mapenzi hayapimwi kwa kupigiana simu wala kutumiana msg BUT hivyo ni vionjo vya kunogesha mapenzi,zamani kabla ya uvumbuzi wa simu wazazi wetu walipendana na kufikia malengo yao bila shida..
In your context ulishawahi kumwambia mwenzio kuhusu hiyo situation??kama ulimwambia na haonyeshi kubadilika jua ipo nje ya uwezo wake huna budi kuacept weakness yake..