Inakuajeeeeeeeeeeeee!
Samahani sana wana jf kwa hili manake kichwa kinauma. Swali langu ni Wanachuo wote wa vyuo vya private wanaosomea faculty za Afya eti huwa wakimaliza masomo either kwa ngazi yeyote kama certificate na diploma wakifaulu vizuri huwa wanapangiwa vituo vya kazi kama waalimu!
Naombeni msaada wenu kwa hili