Kuna ukweli hapo?

mamkindi

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
61
Reaction score
5
Kuna ukweli kwamba mwanamke akifikia age ya 30 na hana mchumba wala mtoto atakuwa kachelewa sana na hana uwezo wa kupata mume na akaolewa na kuzaa watoto?
 
kwani anakuwa ameota pembe?
 
Wacha wewe, mimi najua mwanamke kaolewa akiwa ana miaka 38 na kazaa watoto wanne tayari.


Lakini turudi kwenye ukweli flani, mwanamke anakuwa mtamu akiwa ana umri mdogo...mana skin yake inatereza na wewe unataka kutereza tu, akisha fika age ya 30 kwenda juu anakuwa na ngozi ya kizee zee tena, haterezi kama akiwa 18-25.
 
ukigeuza swali lako kwenye opposite side utapata jibu
 
kaolewa bi. Graca Machel ndo itakuwa kwa huyo wa miaka 30 mdogo hvyo?
 
Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
 
Dahhh kwani kufikisha miaka 30 ni ugonjwa.
Huu ni uongo mtakatifu mkuu ..
 
Uwezo wa kuzaa na kuolewa anao!

Nijuavyo mimi mwanamke akiwa na 30 afu hajapata mtoto huwa wanasema kachelewa,...
 
hawa waliokimbilia kujibu ujue ni above 30,si ni

kweli Smile na Afrodenzi?

ila inawauma sana
 
Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
Na huyo mume itabidi awe mbabu manake 35 hujaolewa wala huna mtoto ni kali... Mwanamke hata akiwa na 30 akapata mtoto, by the time mtoto ana 10 yeye ana 40...hapa inakuwa kama vile bibi analea mjukuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…