Kuna ukweli juu ya hili...

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
343


kwa upande wangu mimi naona kuna ukweli 85% but kwa asian women ni 100% ukweli........wewe je ni maoni tu..
 
hujaweka cha kwangu, mi naangalia miguu(chupa ya bia)
 
sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie
 
kwa hiyo wale ndugu zetu nao ni wa asia au?
kwa kweli kama nakubaliana nayi hivi
emb ngoja waje wenzangu
 
sijapata picha ya mwisho haionekani vizuri asian women wanaangalia nini kutoka kwa wanaume...aliyeona vizuri anifafanulie
hao asians wanaangalia zaidi kama men ana kadi za bank za kutosha, si unaona wallet yake imejaa card za bank kibao! wenyewe ni mshiko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…