Kuna Ukweli katika hili? Tuelimishane kutokana na uzoefu

Kuna Ukweli katika hili? Tuelimishane kutokana na uzoefu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Why watu flani huharibu pesa kwa makusudi? Nlikutana na hili jambo pia mwaka jana nlienda Mtwara kwenye Mgahawa mmoja karibia kila change waliyotaka kunipa ya note imechanwa pembeni. Nlikataa sababu sikupenda pesa ambayo imechanwa.

Ila nikaja ambiwa ni mambo mambo tu ya binadamu.
Screenshot_2023-08-10-19-44-05-712_com.instagram.android~2.jpg
 
Why watu flani huharibu pesa kwa makusudi? Nlikutana na hili jambo pia mwaka jana nlienda Mtwara kwenye Mgahawa mmoja karibia kila change waliyotaka kunipa ya note imechanwa pembeni. Nlikataa sababu sikupenda pesa ambayo imechanwa.

Ila nikaja ambiwa ni mambo mambo tu ya binadamu.
View attachment 2713830
Ushirikina huo na kutajirika hamuna !! Kazi kweli kweli !
 
Nasikia inazuia chuma ulete.
Kuamini mganga inataka moyo, anavyo vaa chizi na mganga hakuna tofauti.

Lugha ya chizi na mganga haina tofauti.

Upumbavu anaofanya mganga wa kuruka ruka sawa kama afanyavyo chizi.

Halafu mtu una akili zako unakwenda kwa kibwengo masikini kikupe utajiri.😂😂😂
 
Back
Top Bottom