Kuna ukweli katika hili?

Du kuna kaukweli hapo wanawake si wa kisport sport mkuu
 
Hiyo ni fact for hundred percent, ukiondoa sheria mwanamke husikilizwa na kuaminiwa na jamii haraka na kupata msaada Mapema Kuliko jinsia yetu hii, Mfano kwa issue kama hiyo huyo mwanamke angeweza kudanganya Pia jamaa alitaka ambake na ingekubalika!
 
Hapo ingekuwa "akikuchukia anaweza kukuua na akikupenda anaweza kukulinda"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…