Kuna ukweli katika hili?

Kuna ukweli katika hili?

Tolowski

Senior Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
122
Reaction score
20
Nimeskia watu wengi wakiongea kuwa kama wewe ni mwanamke then ukamwona mpenzi wako anakuomba tigo ujue hakupendi!!wanajamii hivi kuna ukweli katika hiyo belief
 
Nimeskia watu wengi wakiongea kuwa kama wewe ni mwanamke then ukamwona mpenzi wako anakuomba tigo ujue hakupendi!!wanajamii hivi kuna ukweli katika hiyo belief
nikamwona au nikamsikia? huwa wanaomba kwa vitendo? unataka uombe? kuna ukweli ila inategemea,wapo wanawake wanapenda!
 
wewe ni mwanamke???????
je umeolewa?
mumeo amewahi kukuomba hoiyo kitu?

na je wana ndoa wanao peana hiyo kitu je?
 
Yaani stori za Haramu zinazidi kuongezeka tu kila ninapo ingia JF,
sijui mtaani kukoje,nahsi watu wamehamia nyuma siku hizi
ndo maana mabikra wapo wengi kumbe mmm
 
Kama anajua madhara yake na bado anang'ang'ania jua wewe unatumiwa kama tool nyingine yoyote. Tena akikuahcha ndio itakuwa lugha ya kukusagia kwa watu. Mwanamke gani anatoa tigo! Wewe ushangai watoa tigo wengi wanajulikana. Hao wanaoziomba wengine wakilia wakimaliza haja zao basi inakuwa simulizi vijiweni. Utashangaa huyo mpenda tigo akija kuoa anataka mwanamke ambaye hajaharibiwa!

Mfano mdogo tu, machangu doa wana maufundi ya hali ya juu na wengine ni wazuri. Kwa nini hakuna anayesema nienda kuoa changudoa ntampa kila kitu atulie na mimi?

Kikiwa chako unakithamini, kama wajua wapita utaomba vyoote ili uhakikishe umewachakazia wenzio.
 
Mmh haya mambo ya tigo sasa..........si mlisikia kuna mmoja leo ameapa hatarudia hiyo kitu
 
Ukisoma posts za nyuma kuna man humu mke wake alikuwa analiwa tigo nje, siku ya kujifungua hosp manesi wakaanza kumtukana kwanini kamuaribu mkewe as alikuwa anapata matatizo kuzaa (aliyemtoa kijijini eti atadumu) kumbe alikuwa anaiba nje

Wanaume wengi sanaaaa tigo wanaenda kula na wanawake wa nje ila sio mbaya kutoa kama unapenda na pia utaona raha hata kama boyfi atakuacha. Kwa mume si mume mtajuana ukimnyima ataenda ipata nje etc
 
Back
Top Bottom