Kama anajua madhara yake na bado anang'ang'ania jua wewe unatumiwa kama tool nyingine yoyote. Tena akikuahcha ndio itakuwa lugha ya kukusagia kwa watu. Mwanamke gani anatoa tigo! Wewe ushangai watoa tigo wengi wanajulikana. Hao wanaoziomba wengine wakilia wakimaliza haja zao basi inakuwa simulizi vijiweni. Utashangaa huyo mpenda tigo akija kuoa anataka mwanamke ambaye hajaharibiwa!
Mfano mdogo tu, machangu doa wana maufundi ya hali ya juu na wengine ni wazuri. Kwa nini hakuna anayesema nienda kuoa changudoa ntampa kila kitu atulie na mimi?
Kikiwa chako unakithamini, kama wajua wapita utaomba vyoote ili uhakikishe umewachakazia wenzio.