teeeee teee! hivi dodoma kuna chuo kikuu kumbe,kudadeki nilijua ni mkusanyiko wa waalimu,wazee na wote waliosoma shule za kata! tee! tee! ili kuhusu ajira kuna dogo ameliza huko chuo cha kata udom yupo dar maeneo ya ubungo riverside,mwaka wa 3 sasa hajapata ajira,alisomea sociology sasa anapigisha disko toto kwa siku anapata buku 2,