Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Khalid Aucho anatarajia kuingia leo Mkuu baada ya recovery.Wadau wenzangu
Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi
Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa
Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni
Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri
Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe
Sio wote ni wachache na pale wanaposumbua jua kuna jambo haliko sawa huwa Mara nyingi wanataka maslahi yao ( stahiki) zao kwa wakati bila mizungushano.Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
Rejea kwa Juuko Murshid alianza kuchelewa makusudi kikosini, akapigwa chini na Simba SC.Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
DuhAcha kuishi tetesi, utakufa maskini mbwa wewe
Mbona kaishafika yuko dar?Wadau wenzangu
Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.
Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.
Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.
Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.
Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.
Hapa sizungumzii soka tu, hata kwenye business nyingine, waganda ni watataSio wote ni wachache na pale wanaposumbua jua kuna jambo haliko sawa huwa Mara nyingi wanataka maslahi yao ( stahiki) zao kwa wakati bila mizungushano.
Hamis kiiza,okwi wote pasua kichwaRejea kwa Juuko Murshid alianza kuchelewa makusudi kikosini, akapigwa chini na Simba SC.
Hahahaha mbona matusi makali na hasira kali hahahaha dahAcha kuishi tetesi, utakufa maskini mbwa wewe
Yale yale ya MorrisonWadau wenzangu
Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.
Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.
Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.
Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.
Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.
Sasa huyo Morrison anakipi anachofanya huko? Si bora hata Dilunga anaeleweka! Wape pongezi Yanga wana skauti ya ukweli!Yale yale ya Morrison
Simba wanaionea sana Yanga
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
haya msemaji wa GSM, na mtaalamu wa mikataba minono.Khalid Aucho anatarajia kuingia leo Mkuu baada ya recovery.
Yanga sasahivi ni ngumu mchezaji kugoma eti kwa sababu ya kushindwa kulipwa stahiki zake.
Yanga wameingia mikataba minono huu msimu ko hela zipo za kushato mkuu.
Game ya Mbeya Kwanza na ile ya Tar11 atakuwepo tu mkuu[emoji12]🥱,Tuombe uzima tu inshallah!!
Acha kuishi tetesi, utakufa maskini mbwa wewe
Gongo mbaya sanaMali ya Simba huyo.
Kama viongozi wa Yanga wanaweza kufanya upumbavu Kama huu baada ya issue ya Morrison, Basi watakuwa hawana akili na kitu rahisi wanachoweza kufanya ni kujiuzuru.haya msemaji wa GSM, na mtaalamu wa mikataba minono.
Keshasajiliwa unyamani yule, mkataba wa miezi mitatu ya majaribio unaelekea kuisha.
Km walivyokufa wazazi wakoAcha kuishi tetesi, utakufa maskini mbwa wewe
Sio kosa lako ila kosa la ukahaba wa Mama yako aliyekuzaa nje ya ndoaKm walivyokufa wazazi wako