Kuna ukweli kuwa mchezaji Khalid Aucho amegoma kuwasiliana na Viongozi wa Klabu yake ya Yanga?

haya msemaji wa GSM, na mtaalamu wa mikataba minono.

Keshasajiliwa unyamani yule, mkataba wa miezi mitatu ya majaribio unaelekea kuisha.
Kila mchezaji aliye kwenye fomu Yanga kasajiliwa miezi 6,kolo mmeaminishwa upumbavu sana,aucho ni mchezaji yule sio shabiki kama yule mghana mwehu
 
Sasa huyo Morrison anakipi anachofanya huko? Si bora hata Dilunga anaeleweka! Wape pongezi Yanga wana skauti ya ukweli!
juzi tuuu hapa goli mbili zimetoka kwakeee sasa sjui unataka afanyaje au unataka aje kwenu
 
Ulichosema kina ukweli wa asilimia zote, hapa Kampala ukienda hata dukani kwa mara ya kwanza mwenye duka ata kutreat vizuri, mara ya pili, ya tatu anaanza kukuona kama huna sehemu nyingine ya kwenda na nyodo kibao ..
 
Mtu kudai haki yake ni usumbufu? Tubadilike watanzania.
 
Hizi porojo ndo mnazozipenda
Watangulizeni mbele wakina Abdallah bin cleb na wakina Seif Magari wanajua vigisu za mpira wa bongo injinia mwepesi sana.
Aucho kafichwa unyamani hutomuona tena Utopoloni.
Shukrani anapewa Manara uropokaji wake vijiweni unawapa njia Simba kuibomoa Yanga.
 
Acha porojo

Aucho katua Jana na yuko kambini, kama kufichwa atakua kafichwa kule avic town kigamboni.
 
Mimi nawafahamu sana waganda nimesoma kwao na nimsoma nao. Sisi ndiyo wasumbufu. Mnamchukuwa mtu, mnamsaininsha na ahadi kedekede. Mkishapata sahihi yake mnaanza kumzungusha kwenye maslahi. Mnapenda saana kuwakopa wachezaji. Tena wakati mwingine hamuwathamini wachezaji wananchi. Mtu atakuwa mchezaji mzuri kuliko wa nje, lakini malipo yake kiduchu. Timu za TZ inabidi zioanishe mishahara na uchezaji, siyo kulipa tofauti ya wa ndani na nje. Huwezi kujenga timu kwa kupendelea. malipo sehemu zote duniani huenda na experience na performance na sio ugeni na umaarufu wa jina tu.
 
Kila mchezaji aliye kwenye fomu Yanga kasajiliwa miezi 6,kolo mmeaminishwa upumbavu sana,aucho ni mchezaji yule sio shabiki kama yule mghana mwehu
Umepaniki mkuu, Ni porojo tu za kishabiki, japo inaweza kuwa kweli.

Huyo mwehu Mghana mmeenda mpaka CAS. Hivyo nyie ndiyo wehu wa viwango vya sgr kwenda CAS kusema huyu mwehu sisi Ni mali yetu.

Halafu mwehu mwenyewe ni smart balaa , kashinda kesi mbele ya wale wehu wavaa suti za bluu wa jangwani. Kile kikundi Cha wahuni mazuzu.
 
Gongo mbaya sana
Ni mbaya kwa nyie mnaokunywa kupunguza stress za maisha. Lishe duni alafu kutwa ni mwendo wa kipimo tu. Si afya.

Pole mkuu, punguza gongo, utailaumu bure. Ukute na ugoro na gomba unachachulia tena. Lazima useme gongo mbaya.

Najua umeongea kwa uzoefu ulio nao wa matumizi ya gongo.

Tupe uzoefu zaidi wa ubaya wa gongoe.

Karibu mkuu.
 
Sikia acha uongo aucho yanga walivunja mkataba wake,hivi unadhani angekujaje yanga bika mkataba kuvunjwa?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…