Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

inaweza ikawa kweli maana sehemu nyingi ukitoa cash utahudumiwa vyema,sio ngazi ya udaktari tu!.
ila nafikiri pia hutegemea mtu na mtu na makazini kuna mood pia unaweza ukawa na mood mbovu hata mtu akikupa pesa huduma utayotoa ya hovyo! na ukiwa kwenye mood akaja mtu hana pesa na ukamuhudumia vyema!.

so pesa nitaipa asilimia 60 hiyo 40 ndo mambo mengine maana pesa inaweza kuamsha hivyo vyengine muda mwengine!.
 
Back
Top Bottom