Aiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umemeMkuu jamaa hawa hawako DSM kwa maelezo yao wako Z,bar chake chake
Kwa maana hii utasikia tuma tuna fanya delivery ujue imeisha hiyoo.
Hapana chief usijaribu tena usijaribuAiseh mkuu acha kabisa kama itakuwa kweli yaani mtz KUKOSA usafiri ni juu yake sababu 400k Kuna bike nzuri za umeme