Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo vigezo vingi sana vya kuzingatia.
Hapo vigezo vingi sana vya kuzingatia.
Mfano, aina ya gari.
BMW 320i ina cc 2000 na IST ina cc 1500 kauli yake itakua sio ya ukweli.
Pia aina ya uendeshaji.
Kama una accerelate fasta ata gari lenye cc ndogo litakua na ulaji mkubwa wa mafuta ila kama unakua gentle ata gari lenye cc kubwa litakua na ulaji mzuri.
Vingine ni kama mzigo (uzito), service history, nk.
Yaani kauli yake inaongeza maswali kuliko majibu.
Ukichukua IST ya cc1500 na Crown ya cc2500 halafu msafiri huku mmekomaa na mwendo 130kph kuna uwezekano mkubwa IST ikatumiq mafuta mengi.Wazoefu mtusaidie kama kuna ukweli hapa. Naona wengi wamekubaliana naye.View attachment 3192091
Huyo anazungumzia wanawake kwa kutumia mfano wa Magari. Wewe hujamuelewa tu?? Mishangazi na Vibinti. You need to wise up bro..Wazoefu mtusaidie kama kuna ukweli hapa. Naona wengi wamekubaliana naye.View attachment 3192091
Ukichukua IST ya cc1500 na Crown ya cc2500 halafu msafiri huku mmekomaa na mwendo 130kph kuna uwezekano mkubwa IST ikatumiq mafuta mengi.
Ukichukua hio hio IST na Crownmkatembea hPa mjini kwa misele ya kawaida au mkasafiri kila mru aende mwendo wake wa kawaida Crownni dhahiri itakula wese jingi.
Ila kwa cc1500 na cc2000 unaweza usione tofauti kubwa sana kama mwenye cc1500 ataendesha hovyo.
Huyo anazungumzia wanawake kwa kutumia mfano wa Magari. Wewe hujamuelewa tu?? Mishangazi na Vibinti. You need to wise up bro..
Kama utanunua IST uiendeshe kama Crown,kwanza haitakuwa na maisha marefu na utatumia mafuta mengi.Elimu nzuri sana hii. Kumbe hakuna hata maana ya kununua vigari vidogo bora tujifiche kwenye hizo 2000CC na kuendelea.
Wazoefu mtusaidie kama kuna ukweli hapa. Naona wengi wamekubaliana naye.View attachment 3192091
Kama utanunua IST uiendeshe kama Crown,kwanza haitakuwa na maisha marefu na utatumia mafuta mengi.
Sometimes utumiaji mafuta kwa kiwango kikubwa inachangiwa na uendeshaji.
Huyo atakuwa anakanyaga sana wese kwenye gari ya injini ndogo ili apate performance ya injini kubwa...
Hapo ndipo wese linapochinjwa...
Mwaka Juzi nilisafiri na Toyota rumion ya CC 1500 kutoka DAR -DODOMA Huko njiani nilikweka mafuta tena kabla ya kufika dodoma hii ilitokana na acceleration kubwa hasa kwenye miinuko .
Acceleration ikiwa kubwa gari ya cc1500 inahangaika Sana engine
Uzi ufungwe!!Hapo vigezo vingi sana vya kuzingatia.
Mfano, aina ya gari.
BMW 320i ina cc 2000 na IST ina cc 1500 kauli yake itakua sio ya ukweli.
Pia aina ya uendeshaji.
Kama una accerelate fasta ata gari lenye cc ndogo litakua na ulaji mkubwa wa mafuta ila kama unakua gentle ata gari lenye cc kubwa litakua na ulaji mzuri.
Vingine ni kama mzigo (uzito), service history, nk.
Yaani kauli yake inaongeza maswali kuliko majibu.
Nyingi sana. Toyota Carina, Premio,Allion etcHivi Bongo kuna gari za CC 1800?
Nyingi sana. Toyota Carina, Premio,Allion etc
ZIpoHivi Bongo kuna gari za CC 1800?