Kuna ukweli wowote bei za bati kupanda bei?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Kuna watu nimesikia wakizungumza kuwa bei ya bati zimepanda leo je kuna ukweli wowote uko?
 
Bati iliyouzwa 20000 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 24-26.
Iliyouzwa 17000 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 21-22.
Iliyouzwa 22 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 27-28.
Hii ni kwa mujibu wa macho na masikio yangu huku Chanika.
 
Kupanda ni kawaida kwa hali kama hii 👇

Screenshot_20211212-135549.png

Screenshot_20211212-135645.png
 
Nilimsikia leo Rais Hussein Mwinyi akilisemea ili la inflation
Alisema sasa ivi wenye meli wameongeza gharama za usafirishaj wa mizigo, kitu kinacho pelekea bidhaa zinazoingia nchin kuwa bei juu
 
Na hii inflation sio Tzn pekee ni Dunia nzima..US iko 6.2% highest level ever to be reached,the same to EU iko 5% nako haijawahi fikia.

Screenshot_20211212-135549.png

Screenshot_20211212-222515.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211212-222649.png

Screenshot_20211212-223245.png

Screenshot_20211212-223341.png
 
Na hii inflation sio Tzn pekee ni Dunia nzima..US iko 6.2% highest level ever to be reached,the same to EU iko 5% nako haijawahi fikia.

View attachment 2041896

View attachment 2041920

View attachment 2041921

View attachment 2041922

View attachment 2041923

View attachment 2041924
Hapa ndo namlaumu mwalimu !!kwa kufanya lugha ya taifa kuwa kiswahili, discussions na articles kama hizi wengi wetu hatuna muda na uwezo wa kuzisoma , tunaishia kumlaunu mama rais kwa mfumuko wa bei.

Watanzania hatupo well informed kwa sababu ya kukumbatia kiswahili , taarifa nyeti kama hii ya kupanda gahrama za shipping , hadi tutafsiriwe na mkandara au lufufu
 
The situation in the world economy is at alarming state..

Look at how it is ,afu jinga fulani kama Polepole linakuja kusema Samia,pumbavu 👇

Screenshot_20211212-135549.png

Screenshot_20211212-222430.png

Screenshot_20211212-222515.png

Screenshot_20211212-222649.png

Screenshot_20211212-223321.png

Screenshot_20211212-223245.png
 
Bati iliyouzwa 20000 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 24-26.
Iliyouzwa 17000 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 21-22.
Iliyouzwa 22 miezi 12 iliyopita leo inauzwa 27-28.
Hii ni kwa mujibu wa macho na masikio yangu huku Chanika.
21-22 duka gani hilo nisanue chapu, nilienda kwa vunja bei nikakimbia

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom