Kuna ukweli wowote? Kuhusu maji ya baridi?

Kuna ukweli wowote? Kuhusu maji ya baridi?

Neanne

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Habari wanajamvini?

Ni kweli kuwa mwanamke akinywa maji ya baridi baada ya tendo la ndoa siku ya hatari hatashika mimba?

Asanteni
 
na ukinywa ya moto kabisa right out f the cattle na kumagilizia nusu yake kwenye nanihii haupati ukimwi.
Source King'asti na collabo ya Hon Zuma, President of SA
 
Last edited by a moderator:
kwani Tumbo la uzazi na chakula vinahusiana jamani.....
 
Kama ndo formula utakayotumia, nakutakia kuijaza kwema dunia
 
Maji tu hata Bia au soda mbona Mabaamedi wangefurahi maana walevi wasingepata mimba, na Guest zisingewekewa Condom ila maji Uhai au Kilimanjaro kusaidia mimba zisizotakikana
 
Back
Top Bottom