Kuna ukweli wowote kuhusu redbull?

Kuna ukweli wowote kuhusu redbull?

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
1475247527911.jpg
1475247543016.jpg
1475247556224.jpg
 
Lol utani tu huo.

Synthesis
Synthetic taurine is obtained from isethionic acid (2-hydroxyethanesulfonic acid), which in turn is obtained from the reaction of ethylene oxide with aqueous sodium bisulfite. A direct approach involves the reaction of aziridine with sulfurous acid.[3]

In 1993, about 5,000–6,000 tons of taurine were produced for commercial purposes: 50% for pet food and 50% in pharmaceutical applications.[4] As of 2010, China alone has more than 40 manufacturers of taurine. Most of these enterprises employ the ethanolamine method to produce a total annual production of about 3,000 tons.[5]

In the laboratory taurine can be produced by alkylation of ammonia with bromoethanesulfonate salts.[6]
 
Hahahaha,aisee kumbe watu wamekunywa na wanaendelea kunywa ......................
teheteheteh
Yaani inamaana wanaokunywa Redbull wanakunywa Maniiiiiiiiiiiiii

Duhhhhhhhhhh,tehetehetehetehe,nawaona humu wamekunja sura,
Hahaha mmeishakunywa wakuu,kuweni wapoleeeeeeeeeeee
 
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH

Mkuu mi mwenyewe haya madudu yamenipita kushoto kabisa hatar tupu
 
Lakini chumvini Uvinza unazama daily.
 
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
wewe na mkeo hata mnywe kinywaji toka nchi gani still mtakufa tu
 
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH

Mkuu mi mwenyewe haya madudu yamenipita kushoto kabisa hatar tupu
Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hakuna mbaya tutaendelea kunywa tu si 0.4% haisumbuagi ndio maana nikinywa kabla ya kugegeda nguvu na mzuka vinaongezeka
 
yaani ata waweke kwenye bia izo mambo sijui maniii no one can stop reg,
 
Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mshana mambo gani ya kuharibiana siku mkuu, leo nishajikoki nimchinje jogoo nifanye kitoweo imebidi nianze kuwaza mara mbili... [emoji16] [emoji16]
 
Usiamini kila unachokisoma bali fuata uhalisia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom