Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Lakini chumvini Uvinza unazama daily.Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
wewe na mkeo hata mnywe kinywaji toka nchi gani still mtakufa tuKuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
[emoji134] [emoji102]Duh sio mbaya! Mbona zile zingine wamekunywa na kumeza
Kuna mambo mengi machafu yanayoingizwa kwenye bidhaa za viwandani ndio maana mimi na mke wangu tunatumia sana juice za kusaga wenyewe katika upande wa vinywaji.Bidhaa tunazopendelea kutumia haswa za kusindikwa ni Zile ZinaZotoka uarabuni kwa masheikh maana wanahofu ya ALLAH
Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabuMkuu mi mwenyewe haya madudu yamenipita kushoto kabisa hatar tupu
Mshana mambo gani ya kuharibiana siku mkuu, leo nishajikoki nimchinje jogoo nifanye kitoweo imebidi nianze kuwaza mara mbili... [emoji16] [emoji16]Kwenye hii dunia ambayo hatuko stagnant wala kuwa stationed sehemu moja ni vigumu mno kuepuka kula uchafu ama vitu vya ajabu ajabu
Ishu ya redbull ni ya kutengeneza! Utakamua wangapi kupata hiyo malighafi? Kwahiyo hata dragon shark na Azam energy drink navyo vinatengenezwa na hiyo manii ya ng'ombe dume?
Ni wakati unakwepa kutumia hivyo vitu lakini home una Kopo la asali mbichi tena ambayo haikupita kiwandani(malighafi za asali ni pamoja na vimimika toka kwenye haja kubwa na ndogo)
Ni wakati unakataa kutumia redbull, home shemeji/wifi kakupikia kuku wa kienyeji tena unapenda firigisi! chakula cha kuku wa kienyeji kinaeleweka wazi ni kwenye majalala na majalala yana kila kitu mpaka vinyesi... kala kinyesi jana jioni kimekuwa digested usiku mzima asubuhi kala kisu mchana karostiwa unakula mpaka unajiramba tena firigisi! Halafu ukatae kuwa hujala kinyesi tena pengine cha khafir [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza kutoa mifano zaidi lakini sitaki nikutie kinyaa zaidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usiamini kila unachokisoma bali fuata uhalisia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mshana mambo gani ya kuharibiana siku mkuu, leo nishajikoki nimchinje jogoo nifanye kitoweo imebidi nianze kuwaza mara mbili... [emoji16] [emoji16]
Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.Usiamini kila unachokisoma bali fuata uhalisia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbaya zaidi huyu jogoo ni mzururaji sijajua jana kala kinyesi cha nani.. [emoji28] [emoji28] Kwa wale jamaa zetu wanaokula utumbo ndio shida kabisa.