Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.
Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.
Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.
Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.