Za kwenu?
Mi nasalimia Mambo? au Good morning. Hiyo shikamoo siipendagi.Salamu ya jamii yeyote unaendana na uchumi wao.
Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.
Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.
Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Silipendi hili, huwa nalitumia basi tu yan but silipendi, huwa sipendi pia watu wanisalimie hivyo hata watoto wadogo
Embu nipe shikamoo, wewe dada!!Ila neno shikamoo ni la ovyo Sana..basi tu usipolitoa unaonekana jeuri.
Sent using Jamii Forums mobile app