Ommossani Member Joined Apr 13, 2013 Posts 53 Reaction score 20 Jun 29, 2015 #1 Wasalaam wakuu, Nasikia kuwa mboga za majani aina ya "Chinese" zinapunguza mbegu za kiume. Kuna ukweli gani juu ya hili?
Wasalaam wakuu, Nasikia kuwa mboga za majani aina ya "Chinese" zinapunguza mbegu za kiume. Kuna ukweli gani juu ya hili?
definition JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 972 Reaction score 1,584 Jun 29, 2015 #2 amna ukweli juu ya ilo ni uzushi wa wabongo... matatizo ya mboga yanaweza jitokeza iwapo haitapikwa vizuri yaweza leta nematodes infections kama ascaris,hookworm...ila juu ya nguvu za kiume hapana
amna ukweli juu ya ilo ni uzushi wa wabongo... matatizo ya mboga yanaweza jitokeza iwapo haitapikwa vizuri yaweza leta nematodes infections kama ascaris,hookworm...ila juu ya nguvu za kiume hapana
Ommossani Member Joined Apr 13, 2013 Posts 53 Reaction score 20 Jul 4, 2015 Thread starter #3 Asante mkuu maana mm naipenda sana.