Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Escabar jini

Member
Joined
Nov 26, 2021
Posts
7
Reaction score
4
Habari wana forum nimekuja na hili swala kama nilivolikuta sehemu watu walikua wanabishana uwezo wa engine za toyota 1hz na 1Nz mada ilikua ni kwamba gari zenye hizo engine zikikaa rami zikianza safari pamoja basi mwenye 1nz atamuacha 1Hz na gari zenye hizo engine ni

landcruiser j70 ina1HZ

Corolla spacio ina 1NZ

Inawezekanaje cruiser kukalishwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hyo route ya umbali gani...kama dar to mwanza/ kigoma...nadhani landcruiser zinajulikana
 
Back
Top Bottom