Escabar jini
Member
- Nov 26, 2021
- 7
- 4
Chombo pekee 1hz inachoweza kukiacha kwa speed ni bajaj pekee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kijiwe flani ivi mada haijawahiisha kila mmoja anatetea upande wake
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Siyo Landcruiser hiyo iliyotajwa na mleta maada.Hyo route ya umbali gani...kama dar to mwanza/ kigoma...nadhani landcruiser zinajulikana
1Hz kwa mbio bado sana. Inapitwa na gari nyingi tu.Chombo pekee 1hz inachoweza kukiacha kwa speed ni bajaj pekee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Alooo asante kwa elimu hii imenipa uelewa1Hz kwa mbio bado sana. Inapitwa na gari nyingi tu.