Kwa sababu umeleta habari humu bila scientific evidence?Je!kuna haja ya wanawake sasa kuanza kuchagua mwanaume wa kuwa naye kimapenzi kwa kuchunguza kwanza alitahiriwa katika mazingira yepi?
Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini bila ganzi) wako na nguvu za kutosha ila tatizo ni kubwa kwa waliotahiriwa kisasa(hospitali kwa ganzi).Je suala hili lina ukweli?Je wanaume mna maoni gani(maana mnajijua mlikotahiriwa na nguvu mlizonazo)Pia kwa wanawake mnalionaje hili hasa mkipima nguvu za wenza wenu kulinganisha na mahali walipofanyiwa tohara!?
Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini bila ganzi) wako na nguvu za kutosha ila tatizo ni kubwa kwa waliotahiriwa kisasa(hospitali kwa ganzi).Je suala hili lina ukweli?Je wanaume mna maoni gani(maana mnajijua mlikotahiriwa na nguvu mlizonazo)Pia kwa wanawake mnalionaje hili hasa mkipima nguvu za wenza wenu kulinganisha na mahali walipofanyiwa tohara!?
Ni researchable topic japo mimi kwa mawazo yangu naona haina ukweli wowote, iwapo utakuwa umetahiriwa katika mazingira yeyote yale lakini hufuati mambo yafuatayo ni lazima uathirike tu na hili tatizo.Ni mawazo yangu tu naona hii thread ihamishiwe kwenye JF doctor Ingawa ni kweli ulichozungumza kuwa tuliotahiriwa porini tuko Imara zaidi, hilo halina ubishi na hakuna asiyefahamu hapa.
Ni mawazo yangu tu naona hii thread ihamishiwe kwenye JF doctor
Ingawa ni kweli ulichozungumza kuwa tuliotahiriwa porini tuko Imara
zaidi, hilo halina ubishi na hakuna asiyefahamu hapa.
Fanya 'scientific study' utaweza jibu swali lako ukiwa na evidence. Case-Control Study itakusaidia, cases ni wale waliopungukiwa nguvu za kiume..na control ni wale wenye nguvu za kiume kama kawaida ila uwamatch kwa umri, life style (mlo, mazoezi etc), na confounder nyingine utakazofikiria...kisha look back in time kuona walitahiriwaje (hospitali kwa ganzi vs porini kwa jando), halafu compare hizo group 2. Hapo utapata scientific evidence kuwa ni kweli au la....lakini sio humu JF kwa watu kusema mimi hivi, na mimi vile...hujaweka hata case definition ya 'kupungukiwa nguvu za kiume' maana yake ni nini!
RIWA nakuheshimu sana kwa michango yako. Hilo jibu langu niHuna evidence ya kusema ulichosema...mtoa mada mwenyewe hafahamu hilo, ndio maana kaleta mada, na wachangiaji wengi wameonyesha kutofahamu hilo...sasa wewe utasemaje hakuna hasiyefahamu hilo!
Mkuu usianze kupinga kwa jaribu kuuliza kwa wataalamu huendaHili suala nalipinga kwa asilimia zote kwani ile ganzi inauhusiano gani na nguvu kazi ya mashine?
Mmmh, hii yaweza kuwa kweli. Make mie ni mmojawapo wa waliotahiriwa porini bila ganzi na kweli nina nguvu za ukweli na za uhakika.
Uki-connect dots you might come up with a very brilliant natural scientific reason. Asilimia kubwa ya wanaotahiriwa porini, maisha yao huishi huko huko porini (vijinini). Vyakula vyao mara nyingi ni natural food. Remember, you are what you eat. Pia wana physical work za kutosha. Kitu lazima kiwe na stamina (sorry kwa ushabiki). Wanaotahiriwa hospital, maisha yao huishi mijini. Always mijini we are busy na junk food. Remember again, you are what you eat. Stamina itoke wapi!!! Ukifanya majumuisho, issue siyo circumcision mode. Ni mazingira na vyakula. Kwa hiyo ukitahiriwa porini bila ganzi, then ukaja kuishi maisha ya junk food. Sorry, you will fall under the same awful category (maana naona kila mchangiaji wa kiume anajifanya katahiriwa porini). But don't worry, thats why we have Viagra.Fanya 'scientific study' utaweza jibu swali lako ukiwa na evidence. Case-Control Study itakusaidia, cases ni wale waliopungukiwa nguvu za kiume..na control ni wale wenye nguvu za kiume kama kawaida ila uwamatch kwa umri, life style (mlo, mazoezi etc), na confounder nyingine utakazofikiria...kisha look back in time kuona walitahiriwaje (hospitali kwa ganzi vs porini kwa jando), halafu compare hizo group 2. Hapo utapata scientific evidence kuwa ni kweli au la....lakini sio humu JF kwa watu kusema mimi hivi, na mimi vile...hujaweka hata case definition ya 'kupungukiwa nguvu za kiume' maana yake ni nini!
kwani hili tatizo limeanza miaka gani? mana kama limeanza tangia enzi za mababu zetu basi kutailiwa hospitalini akuna effect yoyote ila kama limeanza hivi karibuni basi its possible hospitalini kunachangia, plus life style yetu ya sasa na vyakula tunavyokula too artificial. mpaka wadada nao wanasumbuliwa na hili tatizo sasa nao tutasema ni kutailiwa hospitalini au ni nin? ( nimesema tu)
Ni mawazo yangu tu naona hii thread ihamishiwe kwenye JF doctor
Ingawa ni kweli ulichozungumza kuwa tuliotahiriwa porini tuko Imara
zaidi, hilo halina ubishi na hakuna asiyefahamu hapa.