Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mimi kama nisikia, nikiambiwa au kudhani kuwa kitu fulani ni bora kuliko chengine, (in this case for example: wanene/wembamba/ dodo kubwa/ndogo, wa mjini/wa shamba/...) NA KAMA NINATAKA kuhakikisha kwa kulinganisha, basi hujaribu mwenyewe. Ninakushauri baada ya kupata maoni mbali mbali, ufanye hivyo ili kuondoa wasiwasi.
 
reserch questions 1. Ganzi inayotumika kwenye tohara ndo inapunguza nguvu za kiume 2. Nyuzi za kushonea mboo zinapunguza nguvu za kiume 3. dawa zinazopakwa kwenye mboo huko porinizinaongeza nguvu

HAPO KWENYE RED - AMA KWELI UNA UJASIRI - KUANDIKA HILO NENO ...........MH au ndio WHERE WE DARE TALK OPENLY???

MIE YATIMA NAONA AIBU.........................:shock:................
.............
 
jamani na hao wasiotahiriwa mnawaweka kundi gani?
 
Kwa sababu umeleta habari humu bila scientific evidence?

scientific evidences huanza na maswali ya kujiuliza kama haya ili kujua kama suala hili ni issue kwenye jamii kwa kiasi gani.Then unakuwa uko sahihi kufanya utafiti
 
reserch questions 1. Ganzi inayotumika kwenye tohara ndo inapunguza nguvu za kiume 2. Nyuzi za kushonea mboo zinapunguza nguvu za kiume 3. dawa zinazopakwa kwenye mboo huko porinizinaongeza nguvu

mkuu hata mimi nilikuwa nafikiri hizo ni baadhi ya sababu
 
Nakushukuru Dkt kwa kunipanua mawazo
 
Haya mapya sasa. Ngoja niliulize linjemba langu limetahiriwa wapi. Lol.
 
Haya mapya sasa. Ngoja niliulize linjemba langu limetahiriwa wapi. Lol.
wala usihangaike,nshacheki na TF,mwoga yule siku ya jando alipoona kisu tu akachanja mbuga na kudandia lori la mkaa lililokuwa linakuja dar,the rest is history.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…