Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ninachojua ukifungua ac ya chapchap muamala unapozidi 5m inadibi upeleke nyaraka za utambulisho wa kijijiNataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala,
Nafanya biashara halali zenye nyaraka halali ila endapo hizi tetesi ni za kweli sitafirahia kwasababu ratiba zangu zimebana sana kupata muda kwenda kwenye ofisi zao
Je pana ukweli????
Kinachoangaliwa ni trend ya Account yako
Mzee Bakhresa au Rostam akitoa 5M sio issue wala hawezi kuhojiwa lakin Mwenzangu na Mie Account yako imekuwa kama mfereji wa Mshahara baada ya Mshahara kusoma kwenye Account yako haujawahi kuvuka saa 48 kabla Hujaukwangua na Mara zote Account yako Ina ingizo la Mshahara to hapo lazima wakuhoji
sio kweli. ukweli ni kwamba, kuna njia mbili za kufungua account, njia ya Kwanza ile account ya chap chap, yani unafungulia nje kwa Wakala, na kitu pekee kinachohitajika pale ni kitambuliso tu, sasa account hii ni Kama temporary hivyo hairuhusiwi kufanya muamala zaidi ya Tsh million 5. Kama unataka izidi hapo ndo unatakiwa uka update account yako, kwa kuingia ndani na docmennt. account ya pili ni ile ya kuingia ndani moja kwa moja, na docmennt zako zinazohitajika, hivyo account hii haina masharti ya ku update hata Kama unataka kufanya miamala zaidi ya million 5.Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala,
Nafanya biashara halali zenye nyaraka halali ila endapo hizi tetesi ni za kweli sitafirahia kwasababu ratiba zangu zimebana sana kupata muda kwenda kwenye ofisi zao
Je pana ukweli????
Ulichokisikia kipo lakini hakiko sahihi. Kuna issue ambayo nafikiri ni utaratibu kwa mteja akitaka kuchukua fedha kiasi kwanzia 4 M kunakuwa na utaratibu wa teller kukuelekeza ukamsainishe incharge wake ile slip then unarudi chukua mzigo na mengine yanaendelea hamna maswali wala nini.Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala,
Nafanya biashara halali zenye nyaraka halali ila endapo hizi tetesi ni za kweli sitafirahia kwasababu ratiba zangu zimebana sana kupata muda kwenda kwenye ofisi zao
Je pana ukweli????