Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa halafu wanaume 98% sio waaminifu kwenye ndoa sasa kama mtu hajieshimu umtamsaidia vipi his dream to come true?Hata huku kuna wanaopendana wakiwa hawana kitu lakini tatizo baadhi ya wanaume wakishapata hua wanaona wake zao hawafai!