Kuna ulazima chapati iwe ya mviringo?

Kuna ulazima chapati iwe ya mviringo?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati?

Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati.

Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati.

Tubadilike.

images (3).jpeg
images (2).jpeg
 
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati? Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati. Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati. Tubadilike.
View attachment 2907355View attachment 2907356
Ili ziitwe chapati lazima ziwe za duara

Inafaa kupika Kwa shape tofauti ila haitaitwa chapati

Cha kufanya tafuta jina zuri uziite hizo ulizoweka kwenye picha na mtu akimcheka mkeo asiyejua kupika utamwambia wewe ni mshamba hizi sio chapati bali ni
Hiyo ni sawa na Mpira lazima uwe sphere na ikiwa shape nyingineyo basi huo si mpira
 
Mkuu kuwa mbunifu uanze kutengeneza za kwako ziwe na muundo wa hiyo Avatar yako utauza sana....!!!

Then utanishukuru baadae hahahahh...!!!
 
Mi napendelea zifanane na mbususu ziwe na tobo katkat
 
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati?

Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati.

Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati.

Tubadilike.

View attachment 2907355View attachment 2907356
chapati zipo maumbo mbalimbali kutegemea tu,ni wapi inapikwa
 
Back
Top Bottom