Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ili ziitwe chapati lazima ziwe za duaraHivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati? Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati. Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati. Tubadilike.
View attachment 2907355View attachment 2907356
Nafikiri ili litoke kirahisi. Kutaga yai la pembe tatu siyo mchezo.Hata mayai kuna ulazima gani ya kua na umbo lile lisiloeleka?
Kwani lingekua kama mpira au pembe tatu lisingetotolewa?
Takutafuta unionyeshe hizo chawapati..😂Hakuna ulazima zipo za pembe nne
🤣
Karibu mkuutakutafuta unionyeshe hizo chawapati..😂
🤣🤣🤣🤣Ukiwa umeshiba Kuna ulazima
mimi tena mbona chap tu..😀Karibu mkuu
Donati ipo kuwakilisha hilo ....Mi napendelea zifanane na mbususu ziwe na tobo katkat
chapati zipo maumbo mbalimbali kutegemea tu,ni wapi inapikwaHivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati?
Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati.
Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa kuviringisha chapati, na tuache kuwanyanyapaa watu wasiyo na ujuzi wa kuduarisha chapati.
Tubadilike.
View attachment 2907355View attachment 2907356