periodic table
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 207
- 510
Haya ni maajabu ya MUSSA na HaroonKuna ulazima gani kucheza mechi usiku wakat taa zinasumbua??
Kwa nn mechi zisichezwe jioni ili kuepuka usumbufu..??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
aibu sanaKuna ulazima gani kucheza mechi usiku wakat taa zinasumbua??
Kwa nn mechi zisichezwe jioni ili kuepuka usumbufu..??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna haja cuf..kuangalia hili kwa nchi Kama yetu ambayo umeme umekatika zaidi ya Mara moja ..muda wa mechi uwe jioniMuda huwa wanaamua caf
Wao CAF ni kuufungia tu uwanja usitumike.Kuna haja cuf..kuangalia hili kwa nchi Kama yetu ambayo umeme umekatika zaidi ya Mara moja ..muda wa mechi uwe jioni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app