Wape basi kitu mbadala cha kufanya wakati wa uchumba...may be wavute bangi kwa sana, au wabwie unga ili kupunguza mihemko?
Nadhani tuache theories kwenye mambo ya msingi..Kama wana sababu za msingi za kusubiri kabla ya ndoa na hawana kizuizi kingine kama kubanwa na imani zao, kwa nini wasijiachie? Ila kama ni binti yangu ahakikishe haleti mchumba wake au huyo BF nyumbani kwangu!
Mkuki eee...
Anyway, kwa kweli mimi sioni umuhimu wa kufanya mapenzi kabla ya ndoa. In short, ni DHAMBI (whether you like it or not, na unalitambua hilo)
Babu DC, umetoa excuses nyingi kuhlalisha uyasemayo lakini kumbuka, we do not make a rule out of an exceptional situation. Ni percentage ngapi ya wanawake ni Semenya? Ni wanaume wangapi hawasimami!?? Na je hayo hamuwezi kuyafahamu wakati tu wa urafiki na kuchumbiana?
Sasa je utafanya na wangapi ili ujue anayekuridhisha?
Kuhusu mambo ya kufanya inategemea na interests zenu, ila there is a lot to do while courting such da hata muda wa kufikiria ngono hamtapata.
Kama mko chuo, think abt involving yourselves in extra-curricula activities, community projects, spiritual groups, something that will most times keep u around people but you also have your quality time. Shida inaokea (na hili nimeliona sana) pale mnapotaka kukaa pamoja tu kila mahali mfatane kama mambuzi bila ya kuwa na kitu cha kufaya, lazima shetani awatumie tu kwani an empty mind is the devil's workshop.
There is alot to do..na mzee Bujibuji kama kweli uko sincere na swali lako, nadhani utachukua jibu hili..
Usidangayike, chukua hatua..amua kusubiri!
Kuna mwanafilosofia aliwahi kusema: Kuna raha mbili kubwa duniani, ile ya kufaulu mtihani na ile ya usiku wa kwanza baada ya ndoa...don't trade this for any simple cheap ungodly advice!
Ubarikiwe...
*Na just as an addition, unapofanya ngono nje ya ndoa, kuna ile feeling ya worthlessness. unakumbuka mara ya kwanza umelala na msichana alafu hakuwa bikra ila yeye ndo alikuwa wa kwanza kwako? ulijisikiaje??!!
But above all..Ni dhambi, i guess that should be enough a reason not to..