Kuna ulazima gani wa kufanya mapenzi kabla hamjaoana?


Nadhani wewe na mimi tunatofautiana sana kwa hiyo sitapenda kukujibu. Ila kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba mimi naongelea hali halisi na wewe unaongelea wishes! Vitu hivyo havifanani kabisa.

Labda swali dogo tu, hivi leo ungeteuliwa kuwa waziri wa utamaduni na vijana, ungewasaidiaje vijana kukabiliana na matatizo yanayotokana msongo wa tamaa ya kufanya ngono? Kwa maombi na neno la biblia au kurani tukufu?


Hivi na wewe umejabiru kufanya reflection ili uweze kujiombea walau kujua unaishi sayari ipi? Inawezekana unaelea majini na hujui kwamba uko katika hali hiyo.


Hilo tatizo lilimtokea ndugu yangu. Hadi leo tunapoongea, hajawahi kurudi katika hali ya kawaida!

Hakuna ulazima wowote lakini katika dunia tuliyokuwa nayo leo hili ni nadra sana kuwezekana.


Unaona Mkuu BAK? I wish watu wangeacha kuvikimbia vivuli vyao!
 
Hoja imepamba moto kiasi kwamba nashindwa kutoa maoni yangu
 
Kuna wengine ni kama semenya.
Unaweza kufikiria umepata binti, ukamuoa, kwenye honey moon ndio mnakutana wote mmesimamisha mitarimbo.
Kudadadadadadadeki, sijui utatokea mlango gani?[/
duuuu hiiii hatariiiii haaaaa haaaaa haaaaaaa
 
N



Hivi na wewe umejabiru kufanya reflection ili uweze kujiombea walau kujua unaishi sayari ipi? Inawezekana unaelea majini na hujui kwamba uko katika hali hiyo.

Naamini utatambua kuwa ni watu wengi hapa wanatete tamaa zao za mwili , wamekuwa watumwa wa miili yao, najua wanajuta, lakini hawapati jibu. sasa nini cha kufanya, ni kumjua yeye aliye waumba katika hali hii. hatuja sikia bado kifo cha shetani na kama huamini kuwa shetani yupo basi amini Mungu yupo. Wasichana bikira wapo, na kina kaka bikira nao wapo lakini watu hapa wanataka kuhalalisha eti hakuna kabisa. Kama tunafikiri ngono kuliko hata masiha yetu wenyewe, hii ni hatari.
 

Uko sahihi katika mtazamo wako na kwa imani yako. Tatizo langu kubwa ni kwamba utaka watu wote wawe na imani kama yako na kwa hiyo waoine kila kitu kama unavyoona wewe. Kama hiyo ingewezekana basi hata hii dunia ingeshafika mwisho siku nyingi.

Una tatizo gani wewe binafsi kuamini kwamba kuna watu wanaamini tafauti na unavyoamini wewe? Hivi unaweza kunisaia kwa kunieleza maana ya maisha (RED)?
 
Kabila letu unmtesti kwanza demu kumcheki kama ni bikira ndio unamuoa.
Tukio hili halifanywi kwa siri ila hadharani na chini ya usimamizi wa wazazi wa pande zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…