KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ndio maana nikamuuliza kama amewahi kuhudhuria KP yoyote au anajaribu kujenga hoja ya kufikirikakwani kwenye KP's hawafundishwi kumheshimu mume??
kwani kwenye KP's hawafundishwi kumheshimu mume??
Sa kama hapo juu hamjui kusoma na picha mshindwe kutazama.
View attachment 11304
kusoma najua na lugha y apicha pia inaielewa
sasa ni hicho tu hufundishwa?? what makes u think thats the only 'training' tunapataga hapo?? hiyo si picha moja tu kwani ndo ina-cover the whole event??
kwann hiyo isiwe topic kuu hasa ukizingatia bibi harusi mtarajiwa amekubuhu ktk mambo ya chumbani na pengine hao wanaomfundisha ni chekechea kwake katika masuala ya mapenzi.
Vyombo??? sidhani,,, na hii "staili ya pole samaki je?"
View attachment 11305
umehudhuria ngapi ukaona mada kuu ni mambo y achumbani tu na si heshima kwa mume??
Tatizo hamnisomi fresh, mi nawaongelea wale ambao tayari ni wataalam/vicheche, kwann tena wanafundishwa hayo masuala?
refresher courses..............!!!tayari ni wataalamu?!! Wataalamu wa afya wenyewe wanakuwaga na semina sembuse..........
Jamani kwani akiwa kahaba aliyekubuhu ndio ana-make good wife?? Lazima kuna vinavyofundishwa ambavyo havihusiani na meza kuu!!
Nakumbuka kuna moja niliisikia mtu anafundwa kuwa mume ni mfalme tena wa kumheshimu na hata ukisikia ameachia hewa usicheke wala kuguna we jifanye kama hujasikia kisha taratiiiiibu toka nje ukaliteme "Pwaahaaaa" ukilisindikiza na tusi lolote unalojiskia kulitoa ila usiliseme kwa sauti.... kisha rudi taratibu na tabasamu paaana usoni likisindikizwa na darling, laaziz, sweetie, nyonda and you name it
refresher courses..............!!!
Thank you. Angalia hapo nimekugongea kabatani.exactly! hakuna mtu aliye perfect kwenye jambo lolote lile.no matter how smart u think u are kuna walio smartter na smartest.