Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Kuna kamtindo ka watu kupenda kujionyesha kwa kuvaa labels - ati Gucci, Prada, Versace,dolce & Gabana etc..etc....tabia hii inanifurahishaga sana maana sijaelewa sana hii obsession inatokana na nini au tafsir yake ni nini.
Je, ni kutaka kuonyesha kuwa kiwango cha umaskini katika ngazi ya kaya kimepungua ?
Mtanzania hata kama unaishi nje ya nchi huhitaji sana kujifananisha na masupastaa wa Hollywood wanaolengwa na hao designers.Kumbuka Tommy Hilfiger wakati fulani aliwahi hata kutukana na kukashifu watu weusi akisema kuwa products zake hajatengeneza kuwalenga!
Someni hii:
"in a taping of the Oprah Winfrey show in Chicago where her guest was Tommy Hilfiger. On the show, sheasked him if the statements about race he was accused of saying were true. Statements like"..."If I'd known African-Americans,
Hispanics, Jewish and Asians would buy my clothes, I WOULD NOT have made them so nice. I wish these people would *NOT* buy my clothes, as they are made for upper class white people. "His answer to Oprah was a simple "YES". Where after she immediately asked him to leave her show".( iliwahi kupingwa kuwa ni propaganda lakini hata kama ndivyo, bado inatuonyesha kuwa walengwa wa hawa designers ni akina nani!)
Pia ukiangalia wanaolilia sana kujitafutia kuonekana ni wale ambao siyo kiviiiileeee! Watu wenye uchache wao wanaangalia utility zaidi na uzuri wa product na siyo ati jina!
Kama ni jina wachina mbona wameweza kuiga products hizo tena wakazipatia na hata bei zake siyo kiviiileee.
Jiulize, unapong'ang'ania kuonekana umevaa Miu Miu au Louis Vuitton - je ni authentic? Original kwa mtanzania wa kawaida utakuwa ama ni Fisadi au uko na walakini kununua! Kama ni imitation - je inastahili wewe utupe pesa yako kuwanufaisha designers?
Binafsi sidhani tumefikia kiwango hicho cha kuishi kikubwa ( living large) katikati ya maskini wa kutupwa.
Ninaomba mawazo yenu.
ANGALIZO:
Mjadala huu ni strictly kwa wenye kuweza kuchambua na kuweka mawazo objective na siyo wenye kutaka kutetea vionjo vyao ambavyo si kwa maslahi ya watanzania wengi walio maskini.Ukijiona uko kwenye ile bracket ya wenye kuishi KIKUBWA basi tupishe sisi wengine wasiokuwa na uwezo wa kula milo mitatu kwa siku.
HAPA PATAKUWA HAPAKUFAI TAFUTA JUKWAA LINGINE.