Kuna ulazima wa kumridhisha kahaba?

Mteja anayetoa tip na asiyetoa nani hupewa kipaumbele?
 
Kwanza, iwapo anapokea pesa kutoka kwako tu, sio KahabA huyo, kama anapokea kwa wanaume wengine pia basi msamehe anakufananisha, na yule jamaa mwingine anayemfikisha.
 
Kahaba anaridhishwa na fedha unayompa basi mengine unapoteza muda wako wala si kazi yako utaweza mwanangu?
 
Kuridhisha kahaba ni sawaa na kuikomesha bawaba iliyofungwa mlangoni
 
Unaweza kujipatia MKE mzuri Sana Sana kutoka katika Hilo Hilo kundi la.makahaba...

Hata yesu alimkubali kahaba Martha kuliko dada take Mariam Hadi Mariam akaona wivu....

Kahaba alikiwa anafanyia miguu ya yeah massage kwa kutumia mafuta mazuri na nywele.zake.....mariam.dada take akawaka wewe unachezea.miguu ya bwana badala ya kuja kisaidia kupika?

Yesu akamwambia tukiza mshono weweeee. Martha kachagua lililo bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…