Kuna ulazima wa kumridhisha kahaba?

Ukiwaridhisha lazima wakutafute talking from my own experience enzi hizo

Lazima wakuelewe

Utapata discount kama zote

Ila inabidi uwa treat Kama mwanamke wa kawaida


Ilifikia kipindi nipo chuo enzi hizo naambiwa tafuta hela ya guest niite


Mwengine nilikuwa nampa 20000 wale classics ikifikia kipindi nampa 10000 ya sabuni ye fresh tu

Message Kama zote nimekumiss


Huyo mmoja ni single mother nilijua baadae tulivyofahamiana alinizid Kama miaka 13 npo katikati ya game alikolea mjalubeng akaniambia basi tuwe wapenzi


Nb tumia kinga
 

Taking notes [emoji404]
 
Kahaba naye si mwanamke?

Wewe peleka Moto Hadi asikusahau mteja wake mkitoka hapo mnatembea Kama mnakata viuno ,
siku nyingine atakupa bure
 
Bro ukimpunguzia utakula mema ya nchi.

Yaani mi nilishawahi pata mmoja mkoa fulani, nikabadilika kutoka mteja mpaka mpenzi

Ila sheria kuu ni "USIMUONEE WIVU"

Alikua anakuja gheto, ananihadithia visanga vyake Nampa pole, nampikia anakula, napewa game all day.

Ukifika usiku anaoga na kuingia kazini.

Mi Nampa ya bajaj tu ya kuingia job.

Ila dah nishahama mkoa, sasa hivi tunachat tu.

Damn V nimekumiss..!!!

#YNWA
 
Mridhishe kwa hela, ili siku nyingine ukichacha unaweza pata mkopo wa muda mfupi
 
Mtoa thread umepata jibu?

Huyo ni mmoja kati ya wengi niliokutana nao na sasa hivi wao ndio wanataka game
 
Haaaa!nmechek xan
 
AkyaMungu wanunuz tuko weng
 
Huna nguvu za kiume.[emoji15][emoji125][emoji125]

Jitahidi kula vizuri,Fanya mazoezi angalau mara 4 kwa wiki, kunywa maji mengi na epuka masoda soda ya viwandani pia hacha*Nyeto*
[emoji125]

Sorry ,Nmeongea tu.
 
[emoji419][emoji375]
 
Kama ni kahaba wako wa kila siku manake mnapeana huduma kwa hisia ila kama tu ni wa mara moja, wewe ndie unaetafuta hiyo huduma ya kutolewa genye, unaweza kujikuta ukawa ni mteja watatu kwa siku hiyo kwa hiyo sidhani hata kama atakuwa anahitaji kulizishwa yeye zaidi ya wewe uliemuhitaji kwa mda huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…