Kuna ulazima wa kumwabia mtu umri wako kisheria

Kuna ulazima wa kumwabia mtu umri wako kisheria

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Ndugu wana JFkuna ulazima wa kisheria kumtajia mtu umri wako,iwe ni askari au mahakama au mtu yeyote.sheria inasema nini kuhusu hilo.naomba kuwasilisha.
 
Kwanini ishu ya umri inaonekana kuwa ni utata sana kuitaja?...Msiogope kifo bana!
 
Si kwamba kuogopa kifo,unakuta mtu anakuuliza una umri gani.hata kufa anakufa wa siku moja anamwacha wa 70yrs.naomba unielewe.na nijibiwe kisheria zaidi.
 
Back
Top Bottom