Ndugu wana JFkuna ulazima wa kisheria kumtajia mtu umri wako,iwe ni askari au mahakama au mtu yeyote.sheria inasema nini kuhusu hilo.naomba kuwasilisha.
Si kwamba kuogopa kifo,unakuta mtu anakuuliza una umri gani.hata kufa anakufa wa siku moja anamwacha wa 70yrs.naomba unielewe.na nijibiwe kisheria zaidi.