Kuuzunguka kivipi? Kukimbia kando ya pichi au ile sehemu wanakimbia riadhaKuna umbali gani kuzunguka uwanja wa mpira mkubwa mara moja? Nlikua Sina pumzi kabisa lakini nmejitahidi ndani ya wiki Tatu nmeweza kuzunguka uwanja wa mpira wa miguu mkubwa zaidi ya mara 15 nataka nijue nakua nmekimbia km ngapi hapo... Mwenye ujuzi na hili anisaidie.
Wanayokimbilia riadha ni 400m kwa mzunguko mmoja. Mara mbili na Nusu ni sawa na 1KM. Mara 25 ni 10KM. Mara 15 ni sawa na 6KMIle sehemu wanayokimbilia riadha
Huu uwanja ni mkubwa Sana una lile duara la riadha ndo nalitumia hilo kuzunguka
Uwanja wa mpira mkubwa uliopimwa ni mitaa 400. Kama umezunguka Mara 15 ni mita 6000 Sawa na km 6.thats correct answer