Kuna umuhimu gani wa kuwa mwema? (What is the essence of being a nice guy/person?)

Kuna umuhimu gani wa kuwa mwema? (What is the essence of being a nice guy/person?)

GuyFromArusha

Member
Joined
May 10, 2016
Posts
71
Reaction score
84
Habari za Jumapili!

Nimekaa hapa nikawa nawaza hivi ukiachilia mbali Vitabu vya dini vinavyotuasa kua watu wema na kuwatendea wenzetu vile ambavyo sisi tungependa kutendewa yote hii kwa ahadi ya kupata makazi ya milele mbinguni, hivi kuna umihimu wowote wa kuwa mtu mwema?

Nauliza hivi kwa sababu kuna watu wengi sana waovu, wagomvi, antisocial, arrogant lakini wanafanikiwa tu kimaisha na from the looks of it, they seem to be living an okay if not a great life.

Je, ni muhimu kusaidia mtu usiemfahamu kabisa?

Ni muhimu kuonesha upendo kwa ndugu zako mara kwa mara (au ni kupoteza muda)?

Ni muhimu kusikiliza na kushuhulikia matatizo ya watu unaowafahamu (au kupotezea na kuendelea tu na shuhuli zako)

Ni muhimu kutojihusisha na uhalifu ama wizi pale nafasi inapojitokeza? (Au labda nikutochangamkia fursa? )

Nakaribisha mawazo/ your reflections on the matter.
 
Kuwa mwema au kutokuwa Mwema Its Up to you,
Kikubwa Usiingilie Mambo ya watu wengine,
Do your own things hatakama hutotoa misaada hayo ni maamuzi binafsi lakini kikubwa Dili na maisha yako cuz unapoanza kuyavamia maisha ya wengine ndio hapo unapoanzisha vita
 
Nlishawahi kujiuliza kitu kama hichi nikafikia point nikawaza kama wema hauna maana yoyote basi humanity ina deserve tabu zote hizi kwasababu its a selfish world
 
kuwa wema mara nyingi hutufanya tujihisi vizuri na amani. watu wengine wamekuwa wakifanya wema si kwasababu ya huruma bali kutafuta amani ya akili. niliwahi wapelekea watoto yatima sukari mara mbili. nilijisikia raha sana. swali lako watu wengi hujiuliza. kuanzia mfalme Daudi hadi hawa head bangers, Accept walijiuliza kwenye the curse.

Why are the world’s biggest sinners
Always saints when they’re gone?
It’s all about losers and winners
Not about who’s right and who is wrong

Who’s the thief, who’s the traitor?
Who’s the one to save the day?
And who will be in the spotlight
While the good ones fade
[Chorus:]
It’s the curse of being good
The curse of doing right
It’s the curse of being good
The curse of doing right
The price we pay for our honour
No more Mr Nice Guy
No more Mr Right
Should I be like all the others?
Should I give up the good fight?

This never-ending struggle
Has been part of me so long
Is it a curse is it a blessing?
We know who’s right, who is wrong

I’m not complaining this is how I lived my life
I(‘ll) keep my pride my dignity
And if I have to I will gladly pay the price
You can’t cheat your destiny
 
Do good thing because you know what it happens when you do bad things.

What will happen if all the people in the world do bad things?

Ofcoz bad things will happen everywhere and the life will be terrible.

So, do good things not only because of rewards you expect, but because it is intellectually right and logical to do good thing.
 
Wema unaifanya dunia iwe mahala salama pa kuishi.Hakika nakuambia hizo roho mbaya,maovu,ubabe ukatili kama ulimwengu ungefumbia macho hayo yote yaendelee naamini hata wewe usingezaliwa.Hali ingekua tofauti kabisa na unavyodhani wala kusingekua na maendeleo yoyote ,dunia mzima ingekua inanuka damu.Hebu fikiria leo hii kama kusingekuwepo na mamlaka ya aina yoyote yaani watu tuishi tu na tufanye tunachojisikia kufanya hakika dunia isingekalika.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jibu lake ni utalipata ukimuangalia JPM na JK.Yupi ambaye ana manufaa katika mazingira yako.Au muulize Tindu Lisu
 
Kuwa mwema ni upuuzi tu
Baba yangu alilea watoto wa ndugu zake kibao na akawapeleka hadi vyuoni
Wengi wakapata maisha wakisaidiwa financially na baba yangu
Alipokufa sasa hata salamu wakituona wakiwa kwenye magari yao hawatupi
Nawakunbusha tu kuwa kama bado baba yako analea ndugu zenu fukuzeni mapema
 
Tenda wema uende zako Mkuu usingoje shukrani. Wema wako baadhi wataulipa na wengine ndiyo kama hao ndugu zako. Fikiria duniani kama binadamu wote wangekuwa wanatenda maovu dunia ingekuwa mbaya sana Mkuu chuki ingekuwa kubwa sana kuliko ilivyo sasa, angalia tu nchi yetu chuki inavyoanza kuota mizizi kutokana na baadhi ya watu wenye roho mbaya kama shetani ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo upendo nchini ulikuwa umeenea kwa asilimia kubwa sana.

Kuwa mwema ni upuuzi tu
Baba yangu alilea watoto wa ndugu zake kibao na akawapeleka hadi vyuoni
Wengi wakapata maisha wakisaidiwa financially na baba yangu
Alipokufa sasa hata salamu wakituona wakiwa kwenye magari yao hawatupi
Nawakunbusha tu kuwa kama bado baba yako analea ndugu zenu fukuzeni mapema
 
"kauli ya mwisho ya akili na ulimwengu" soma hii post imo humu kaandika Appolo
 
Kuwa na umuhimu au kutokuwa na umuhimu wa kuwa mwema hakuna faida wala hasara kwako (tenda wema nenda zako) Ila kwa mtendewa ndio huwa kuna umuhimu wa wema
 
Back
Top Bottom