believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Najaribu kutafakari utayari wa watanzania,juu kuungana kwa nchi za ukanda wa afrika mashariki kenya,tanzania na uganda na possibly rwanda na burundi ktk nyanja za kiuchumi,kijamii na kisiasa,naamin kisiasa tuko tayar na tunaweza kuungana na hawa washirika lakin ktk aspect zngne hatuko tayari,jiulze mambo ya ardhi,vp kuhusu employment scramblin,vp currency,nadhan tuwekeze kwenye elimu kwanza tena kwa dhamira ya dhat,tukipata wasomi wa kutosha basi tuwe jeuri pia,kimsing hatuko tayari au mnaonaje wadau?