Kuna umuhimu kuunda EA COMMUNITY?

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
639
Reaction score
216
Najaribu kutafakari utayari wa watanzania,juu kuungana kwa nchi za ukanda wa afrika mashariki kenya,tanzania na uganda na possibly rwanda na burundi ktk nyanja za kiuchumi,kijamii na kisiasa,naamin kisiasa tuko tayar na tunaweza kuungana na hawa washirika lakin ktk aspect zngne hatuko tayari,jiulze mambo ya ardhi,vp kuhusu employment scramblin,vp currency,nadhan tuwekeze kwenye elimu kwanza tena kwa dhamira ya dhat,tukipata wasomi wa kutosha basi tuwe jeuri pia,kimsing hatuko tayari au mnaonaje wadau?
 
Karibu JF, hiyo idea yako tafadhali ipeleke siasa huku tunakaribisha wageni
 
Karibu sana JF...Yan umeingia ndani nakuanza kula kabla hujakaribishwa...? We mgeni wewe.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…