Una mshangaa huyu raia wa kawaida kuchanganya R na L? Kuna mtu aliwahi kuwa Rais wa nchi na alikuwa ana changanya hizo R na L ki kweli kweli! Vp uliwahi kumshangaa?Ulichpost hapa ni uelewa wako duni! Anachokiongoza Msigwa huwa kimeshapitiwa hadi na Rais! Wewe kama ulihudhuria hiyo sherehe basi ni bahati yako maana hata neno HUDHURIA umeandika HUDHULIA, sasa nina wasiwasi kama una umaarufu wa kuwepo pale kwa uandishi wako hafifu!
Hakika..Msigwa ni miongoni mwa watu makini sana ktk kazi zake na pia ni mtu anaye ifahamu protokali vyema.
huwa naumona tu kwenye luninga.
"tone" yake tu imekaa kiprotokali, cool and politely
Binafsi nakuelewa vizuri Sana,Mimi mpaka nikaingiwa na ukakasi makamu alipopewa platform ya kuongea naona akaanza kupiga "mabeat" pale wakati mwenye "shoo" Yuko pembeni...,Hii ikiendekezwa Kuna hatari ya subordinates kum"outshine" Rais kwa namna moja au nyingine kwenye Jambo flani Kama Rais hayuko smart (ila thanks God the current president is smart enough)Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia.
Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila mara na sio kila wakati kunapokuwepo na shuhuri za namna hiyo viongozi kama Spika , Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na hasa hasa Makamu wa rais watoe hotuba.
Sometimes it becomes embarrassing kwa wahusika kwani watajikuta wanarudia maneno yale yale waliyosema siku mbili zilizopita kwenye hafla kama hiyo!!
Hafla yeyote inayomuhusu Rais, hiyo inakuwa nafasi yake yeye kuwa na platform ya kuzungumza na wananchi ;kama kuna kitu anataka kuwafahamisha.
Sio vizuri anapokuwepo Rais kumuomba makamu wake nae azungumze labda kwa yeye mwenyewe Rais kumtaka afanye hivyo. Hafla ya Rais ni platform yake ya kuzungumza, hao wengine yeye mwenyewe akitaka ataamuru hivyo.
RAIS NDIO MWENYE KUTOA NASAHA ZAKE KWENYE HIZO PLATFORMS. REMEMBER HAO WENGINE ARE SERVING AT HER PLEASURE!
Kumbuka Msigwa, enzi ya mwendazake hata siku moja sikumsikia makamu wake akitoa hotuba mbele yake hivyo usibadili utaratibu watu watakutafsiri sivyo na unga unaweza kumwagika!!
Who are youNaona mnamsagia Msigwa kunguni tuu..
Mwenzetu amefanikiwa,ana uelewa na kazi yake na ndio maana amefika alipo..
Kuwa (DPC) Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu sio kitoto.
Cha muhimu tupambane kutafuta ugali mambo ya protocol huwa yanavunjwa eneo lolote na wakati wowote haijalishi ni hafla za Raisi au kiongozi yeyote.
Cha mwisho hata hao waliovunjiwa protocol na kupewa nafasi hawajatukani mtu
who are you once again?Who are you
Wewe ni Kichwa ngumuHujawahi kumsikia mama Samia akitoa hutuba kipindi Cha JPM? Huu uongo mnasomea au mnarithi?
Huyu naye amesimamia kidole gumba cha mguu wake, very soon Mama ataweka anayejua steps zakeNilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia.
Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila mara na sio kila wakati kunapokuwepo na shuhuri za namna hiyo viongozi kama Spika , Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na hasa hasa Makamu wa rais watoe hotuba.
Sometimes it becomes embarrassing kwa wahusika kwani watajikuta wanarudia maneno yale yale waliyosema siku mbili zilizopita kwenye hafla kama hiyo!!
Hafla yeyote inayomuhusu Rais, hiyo inakuwa nafasi yake yeye kuwa na platform ya kuzungumza na wananchi ;kama kuna kitu anataka kuwafahamisha.
Sio vizuri anapokuwepo Rais kumuomba makamu wake nae azungumze labda kwa yeye mwenyewe Rais kumtaka afanye hivyo. Hafla ya Rais ni platform yake ya kuzungumza, hao wengine yeye mwenyewe akitaka ataamuru hivyo.
RAIS NDIO MWENYE KUTOA NASAHA ZAKE KWENYE HIZO PLATFORMS. REMEMBER HAO WENGINE ARE SERVING AT HER PLEASURE!
Kumbuka Msigwa, enzi ya mwendazake hata siku moja sikumsikia makamu wake akitoa hotuba mbele yake hivyo usibadili utaratibu watu watakutafsiri sivyo na unga unaweza kumwagika!!
Huenda ulikuwa na hoja nzuri ila sentensi yako ya mwisho umesema uongo!! Sijui kwanini muda mwingine huwa mnataka kuwaaminisha watu "pumba "as if huwa hawafuatilii. Mara kadhaa makam wa Rais amekuwa akizungumza alipokuwa kwenye hafla mbali mbali,Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia.
Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila mara na sio kila wakati kunapokuwepo na shuhuri za namna hiyo viongozi kama Spika , Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na hasa hasa Makamu wa rais watoe hotuba.
Sometimes it becomes embarrassing kwa wahusika kwani watajikuta wanarudia maneno yale yale waliyosema siku mbili zilizopita kwenye hafla kama hiyo!!
Hafla yeyote inayomuhusu Rais, hiyo inakuwa nafasi yake yeye kuwa na platform ya kuzungumza na wananchi ;kama kuna kitu anataka kuwafahamisha.
Sio vizuri anapokuwepo Rais kumuomba makamu wake nae azungumze labda kwa yeye mwenyewe Rais kumtaka afanye hivyo. Hafla ya Rais ni platform yake ya kuzungumza, hao wengine yeye mwenyewe akitaka ataamuru hivyo.
RAIS NDIO MWENYE KUTOA NASAHA ZAKE KWENYE HIZO PLATFORMS. REMEMBER HAO WENGINE ARE SERVING AT HER PLEASURE!
Kumbuka Msigwa, enzi ya mwendazake hata siku moja sikumsikia makamu wake akitoa hotuba mbele yake hivyo usibadili utaratibu watu watakutafsiri sivyo na unga unaweza kumwagika!!
Nahisi kwa nukta yako huu mjadala ungeishia hapa...Msigwa ni binadamu na wale watu wapya km makamu na katibu mkuu kiongozi wamepewa nafasi angalau washukuru, spika na jaji pia washukuru maana wamepewa watu ( spika- wabunge na jaji- waziri wa sheria na katiba).
Kuhusu Msigwa kuchapia nako atajirekebisha, mbona rais mwenyewe alisema bunge la katiba tena mara mbili badala ya bunge la bajeti?
Tupendane.
hawezi kutolewa,yupo makini sanaHakika..
Huwa namuonea huruma akichomolewa sijui atafit wapi
Kwa uelewa wako unadhani Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika na Jaji Mkuu wanakuwa hawapo kwenye ratiba kuzungumza ila Msigwa ndio anakuwa anawaona?Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia.
Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila mara na sio kila wakati kunapokuwepo na shuhuri za namna hiyo viongozi kama Spika , Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na hasa hasa Makamu wa rais watoe hotuba.
Sometimes it becomes embarrassing kwa wahusika kwani watajikuta wanarudia maneno yale yale waliyosema siku mbili zilizopita kwenye hafla kama hiyo!!
Hafla yeyote inayomuhusu Rais, hiyo inakuwa nafasi yake yeye kuwa na platform ya kuzungumza na wananchi ;kama kuna kitu anataka kuwafahamisha.
Sio vizuri anapokuwepo Rais kumuomba makamu wake nae azungumze labda kwa yeye mwenyewe Rais kumtaka afanye hivyo. Hafla ya Rais ni platform yake ya kuzungumza, hao wengine yeye mwenyewe akitaka ataamuru hivyo.
RAIS NDIO MWENYE KUTOA NASAHA ZAKE KWENYE HIZO PLATFORMS. REMEMBER HAO WENGINE ARE SERVING AT HER PLEASURE!
Kumbuka Msigwa, enzi ya mwendazake hata siku moja sikumsikia makamu wake akitoa hotuba mbele yake hivyo usibadili utaratibu watu watakutafsiri sivyo na unga unaweza kumwagika!!
Taasisi ya urais ni nyeti sana sio ya kuokota watu kisa wakifanya covarage kwenye kampeni zako...msigwa anapwaya sana kitengo cha mawasiliano ikulu.Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia.