Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

Naunga Mkono Hoja.

Ukikosa kabisa, Anza kujifunza sales & Marketting ukiwa University.

Sales & Marketting ndo kazi pekee ambayo kila siku lazima kuwe na matangazo ya kazi.
 
Nineneo ambalo elimu yetu ilitelekeza, eneo hili lilitakiwa watoto wajifunze kwenye miaka miwili kwenye elimu yao ya Fomu Four na wawe wanapewa vyeti vya umahili.
 
Au angalau basi elimu ya Kidato cha Sita ingeelekezwa kwenye Skills badala ya kile wanachojifunza kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…