Kuna umuhimu Simba SC kujitoa Mapinduzi CUP

Kuna wakati Yanga walijitoa wakatoa kiasi cha pesa km usumbufu lkn wakaonekana wasaliti.
Ikataka kupeleka kikosi B nayo ikalaumiwa.
Kuna wakati Kuna michuano hakuna haja ya kuwepo kwa timu ambayo ina majukumu ya kimataifa.
 
Ni vigumu kuiamini form ya Azam FC wawapo away!

Usiwape nafasi Azam FC kutwaa ubingwa.
Hata Yanga haijacheza bado mechi competitive za ugenini kama Mtibwa, Mbeya city, Azam, Ndanda, Mbao, Coastal Union, Lipuli, Stendi United na hata Simba.
Yanga safari ya ubingwa ni ndefu sana.
 
Hata Yanga haijacheza bado mechi competitive za ugenini kama Mtibwa, Mbeya city, Azam, Ndanda, Mbao, Coastal Union, Lipuli, Stendi United na hata Simba.
Yanga safari ya ubingwa ni ndefu sana.
Mshaanza kutuchagulia Timu za kutufunga tena,habari za Mikoani zimeisha?
 
Nilitarajia mwaka huu jinsi walivyokuwa wamekisuka kikosi cha garama wangeondoa uteja wa timu za Tanzania kenye mashindano ya SPORT PESA kwa timu ya GOR ya kenya kumbe ndio ndembendembe kabisa wamefungwa na ATC WAZALENDI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…