Kuna Umuhimu wa Chama/Serikali kuingia ubia na Sekta binafsi juu ya Viwanja vya mpira.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Viwanja Vingi vya mpira wa miguu vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi au Serikali ila ubora wa Viwanja hivyo haurishi havifai kwa kifup.

Tukitaka ligi yetu iwe na mvuto cha kwanza ni kuwa na viwanja bora hii itasaidia hata wachezaji wetu kuimarisha viwango vyao na kupata timu nje ya nchi ambapo ni faida kwa timu ya taifa

Makocha wengi wamekua wakilalamika juu ya ubovu wa viwanja hasa vya mikoani kuna kiwanja kimoja nliona bulldozer ndo linamwagilia kiwanja linapita kwenye kiwanja hii ni hatari kwa wachezaji kwani uwanja unakua mgumu na kuwa rahisi kwa wachezaji kupata majeraha

Naimani kuingia ubia na taasisi binafsi na kwa mikataba yenye tija itakua njia nzuri ya kurudisha ubora kwenye viwanja vyetu.
 
Chama kilijimilikisha viwanja vya mpira na kinashindwa kuviendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…