Kuna umuhimu wa kuanzishwa Combat Chanell ya Tanzania

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Ombi langu kwa wadau wa MICHEZO nchini hususan media zenye ushawishi mkubwa hasa Azam tv,Startimes,na DStv kuanzisha television maalum ya MICHEZO ya mapigano.Tunaimani kuwa Kama Taifa la Tanzania tunavipaji vingi na MICHEZO mingi inayohusisha Sanaa za mapigano Kama judo,boxer,karate,mieleka,wushu,kickboxer na mingine mingi ili kuimarisha na kutoa fursa ya MICHEZO hii basi kunahitajika juhudi za maksudi katka kuanzishwa Chanell ambayo itakuwa mahsusi kwaajili ya MICHEZO ya Mapigano.
Kuwepo na COMBAT Chanell ya Tanzania itasaidia kuvumbua vipaji na kuleta zaidi ushawishi katika tasnia ya Sanaa za mapigano lakini pia itasaidia kutangaza michezo katika ulimwengu wa kimataifa.
 
Wahusika wanaweza fanyia kazi ombi lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…