Huwezi msikia padre au Askofu wa Katoliki anasema eti yeye hajazaliwa kupingana na Serikali. Maana yake hata serikali ikisema bomoeni makanisa yeye atasapoti tu mana hajazaliwa kupingana na serikali. Ndo mana watu wenye akili kama akina protease lugambwa tangu awe cardinal hajawahi kusema chochote mana mara nyingine kuongea ongea inaharibu.
Pengo alikuwa threat kwa serikali kwa sababu ya reasoning yake mpaka ikafikia hatua watu wakasema serikali inaongozwa na pengo enzi hizo kabla hajawa Mzee. Ndo mana ruwaich anaonekana anapwaya dar kwa sababu uwezo wake haumfulii pengo hata robo.