kuna umuhimu wa kuwa na chombo ambacho kitakuwa kinapitisha izi movie za kibongo !

kuna umuhimu wa kuwa na chombo ambacho kitakuwa kinapitisha izi movie za kibongo !

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
938
Reaction score
125
mfano mzuri ni movie inayorushwa mda huu kupitia tbc yaani ni kichefuchefu kabisa !
Yaani mtu anaigiza kujiua hata mtoto mdogo anajua hawa wanacheza !
Waigizaji hovyo !
Story hovyo !
Yaani upuuzi mtupu !
Tbc mnadhalilisha tathinia ya filamu tanzania !
 
Angalia subtitles za kiingereza kwenye movies za kibongo ndo utachoka zaidi!
 
Mmmmm! Nafkr uigizaji tz unashuka ,ingawa kipato kinapada.Nilikuwa nafurahishwa na hivi vitu enzi zile za zamani za kina kaole,bishanga, swebe,sinta,jely,mzee kipara nk.Siku hizi kuna wauza sura zaidi.Ni bora niangalie tamthilia za zamani za itv,kuliko movi zenu za sasa
 
Heeee kuna wengine wanaongea kama wanasoma mascript,wengine kiinglish cha kuungaunga
wengine uhalisia wa kimagumash,alimradi kanyaga twende
 
Tuache bana! Tupo tunatakatisha pesa za sembe, hatujali kama mi-movie inauzika ama la....teh..teh,!
 
Back
Top Bottom