Kuna umuhimu wa kuwa na shule za kata?

Shule za kata ziwe online kwa sababu ya ukosefu wa walimu au zibomole?


  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Mkillindy

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
37
Reaction score
4
Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani?
Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu?
Zianzishwa Online school ?
 
Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani?
Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu?
Zianzishwa Online school ?



Zikiwa online zitatumia mtandao gani? Vp kuhusu vitendea kazi?
 
Tanzania hii au nyingne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…